Kama ulishuhudia hizi vitu,wewe umezeeka!
1.Kama unajua ulifanya Science ikiwa na Agriculture, na GHCRE… Wewe ni mhenga.
2.Kama ulicheki tv ukajua Inspekta Mwala ako na brother anaitwa Likobe… Tafadhali usiulize nywele nyeupe inatoka wapi? π
3. Kama ulitumia 5bob, 10bob na 20bob ya noti… Anza kuandika will mapema mapema. π
4. Kama ulipanda matatu zile watu huangaliana….Nani, kubali tu.
5. Kama uliwatch tv channel inaitwa STV na bado unaandika X badala ya S… Mboss maombi kwako!πΆ
6. Kama picha yako ya ID si coloured… We ni analogue. Na kama ID yako haiingi kwa wallet…Pea wengine nafasi wazaliwe bwana! π
7. Kama ulikunywa soda inaitwa Softa na Babito, na juice ya Tree Top…Ukopale pale. π
8. Kama Primo ulifanya 8 subjects, deactivate your facebook account uanzishe familia.
9. Kama uliona kipindi ya Tausi, Maria de Losangeles, na movie ya mbwa ingine hapo inaitwa Rex….Shikamoo babu/ nyanya.π
10. Kama ushawahi pelekwa date kwa hoteli mkasomea menu nje… Wewe na akina Mugabe ni agemates.
11. Kama unatambua zile era za kupigwa picha then unaingoja for a whole month ndio itoke… Mzeiya umekula chumvi, masala, chili etc.π
12. Kama ulinunua tule tu biscuits twa round twa kuuzwa 10cent… Wewe uliona Noah akitengeneza Ark! ππππππ13.Kama ulichoma nywele nakikombe imetombolewa na makaa ndani,wewe ni mhenga