Funny!Types of Kenyan Men You’ll Meet on Facebook

502

Ladies,here are the types Kenyan of men you’ll meet on Facebook

 1. NUMBER COLLECTORS
  Hawa ni machali kazi yao ni kuomba namba kwa madem tu… phone book zao zimejaa namba za madem… huwa hawacal.. ni kutext tu. Na huwa wanasave majina depending na place walimeet. Unapata majina ka Jane Choo za Kanjo, Rozzy Nakumat, Caroh Muthurwa, Mcutest FB….etc ukitaka namba za dem yeyote mtaani, saka hizi ng’ombe.
  2. DATABASE
  Hizi ni mbuzi huwa na information mob kuhusu madem. Hawa ndo hujua esto dem flani hukaa. Hujua machali dem amedate, mimba ngapi ametoa… etc, hizi mostly huwa boyz za umbea.
  3. VIFAGIO aka SWEEPERS..
  Hawa na wale maboy hawanaga na taste ya dem. Hufagia kila ikus ikipita mbele yako. Na wale machali hubliv in cover the face and bomb the base… Huamini that kwa madem wote, K is costant… Huwa wanavumilia sura, bora wafyeke ikus.. mostly huwa wamekonda.
  4. ESCORTS
  Hawa ni machali hupenda kupea madem push mtaani. Dem akitaka kuenda sokoni anasaka huyu boy abebe basket au paperbag, dem akienda super anasaka huyu jamaa asukume trolley, hata hupea madem escort wakienda kudinywa…. the only benefit they get ni hug na kuonekana na hao madem.
  5. DONORS
  Hawa ni wale wa kujifanya red cross, kubuyia madem lunch na credo. They dont benefit from anything. Dem akitaka kucal chali wake anaomba huyu donor credor, ni wale maboy hushtuliwa tu lunchtym na madem watoe mipango.
  6. RUNNINGMATES
  Hawa ni wale hupenda kutake mabeshte wao kuona dem. Beshte akisema anaenda kucheki dem wake, unacheki ki running mate kinasema kimpeleke. Mostly kazi zao huwa kutake photos za macouples wakiwa beach au out….. hizi ni ng’ombe zingine.