8.3 C
New York
Saturday, June 6, 2026
Home ENTERTAINMENT Hilarious!!Vile Makanga Wa Nairobi Hujibu Abiria

Hilarious!!Vile Makanga Wa Nairobi Hujibu Abiria

184

Kama hujaenda Nairobi,hii ndio majibu utapata kutoka kwa makanga,when you arrive here:

Makanga : we mrembo Umesimama apo ukidhani gari n mboro ikuone isimame
Njeri: Roysambu ni ngapi?
Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.
Odhis: Hii gari haina watu bana.
Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ngโ€™ombe?
Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.
Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.
Mwikali: Excuse me condaโ€ฆgari za Mwingi zinapandiwa wapi?
Makanga: Ziliacha kupandwa juu hazimei.
Man: Kwani mwisho wa gari ni wapi?
Makanga: Mwisho ni hapo penye number plate iko.
Karis: Ruaka ni how much?
Makanga: Sijaskia Ruaka ikiuzwa. But nikiskia nitakwambia.
Passenger: Shukisha dere.
Makanga: Tukishukisha dere utaendesha gari?
Johnny: Maze, hii gari iko na joto sana.
Makanga: Basi shuka upande fridge.

Total
0
Share