Testimony of a Kenyan Living in Saudi Arabia—Aki Hawa Watu Huteswa

918

If you are a Kenyan planning to go to Saudi Arabia, think twice,other Kenyans are suffering.Here is a story of a Kenyan lady who has worked in the country—very sad:

“It’s high time the our ladies to know the truth about gulf wacha hizo stories za degree holders and graduates am in am just a form 4 graduate😂 ( si bora nilimaliza secondary ) I can’t advice any lady kukuja saudi. Saudi is not for everyone kwanza once umefika u officially become a community worker u can work for more than 5 homes I know watu wako saudi are ur follower wanajua hii.

Forget about hizi salary unapewa hapa saudi salary is 800sr or 900sr (u multiplied by 27 depending on exchange rates)

My story in saudi.. vile nilifika Saudi kenya agent contract was 1000sr which is 27k.kufika huku nikaambiwa salary ni 750sr nikasema no let me go back to kenya.. nikapigia agent simu ..agents akanijibu” sasa utafanya aje chukua tu” nilimjibu I will not nikawacha job nikakaa keep in mind saudi kupata boss anakubali simu it’s not easy..simu nilicall nayo agent ilikua ya boss ( not yake ile anatumia yani ako na mlika mwizi ameweka line utakua unacall nayo then anazima no one can call u back…) hapo kwa salary akaongeza sasa sema kazi community work unatembezwa kwa manyumba kufanya kazi nilivumilia sana hapo nikamaliza one year…

One day nilikua nafanya kazi madam akaniita alikua na video kwa simu akaniambia kuja uone nikaenda, akafungua video waaaah nyoka kubwa imerushiwa makuku iko in a room akaniuliza unaweza unaweza stay mahali kitu kama hii iko nikamjibu no siwezi .akaniambia nyumba hii iko mtu anaweza lipwa 1500sr nikamjibu hata milion Sr mimi siwezi…

Jioni baba wanyumba akafika wakaingia room, mimi nikacheza kikenya nikaenda kuwasikiza madam reported vile nimemwambia siwezi hapo ndio akili yangu ikafunguka…. keep in mind I don’t have phone the husband akajibu lazima tu aende ule mtu analipa huyo mzee pesa mob.. hapo sasa nilirudi tu kwa mungu was the only option sina simu..I don’t pray I was talking to God i can remember the world ” it’s ur time to come down and rescue me don’t send angles it’s ur time” may ur will be done was not part of me nilikua namwambia what I want nataka kutoroka before date 17th nilikua nimesikia wananipeleka date 17th..

During weekend kulikua na harusi ya sister ya bibi tulienda harusi kufika huku nikakutana na Ethiopian lady alikua housemaid but not wa contract like me the ladies alikua na simu mbili smart phone nikampa 700sr akanipa plus line 🤗🤗🤗mimi huyo nikatafuta sasa wakenya I explained to them nikaambiwa nikitoka harusi nitume location nikatuma location that was date 11th date 12th my boss was not around mtoto akatoka bedroom na passport yangu akaniletea 😂😂😂😂aki sijui alitoa was she was only 2 years.. keep in mind hiyo passport sijawai ona nikifanya usafi on date 13th nikakujiwa morning na dere on that day nilificha kifungu za milango zote. Sasa tulilala milango zikiwa wazi hivo ndio nilijitoa huko…

Sasa life as a run away…

Life not bad but mwarabu ni yule yule the best part ni u can change to any house anytime sababu no contract .. mwarabu kukupa chakula ni shida better atupe but asikupe.. mwarabu ukipika atakuja abebe chakula yote aende nayo wakule washikeshike wakulete mabaki (hii iko saudi yote mtu ako saudi atajifanya hapa tu but it’s true wanakula mabaki).. nyumba nimefanya out of contract mtu mmoja ndio alikua mzuri but hakua msaudi alikua Egyptian meaning wasaudi niwabaya wotee. And most of my friends are complaining too.. kama hii nyumba niko at the moment nalala 3 am kuamka ni 9 am na hakuna kupumzika hadi 3am tena unapumzika ukikula ama ukienda choo unakaa huko unaingia fb kiasi.. but good thing nafanya nikijua anytime naweza toka akizidi kua na hii ujinga ( imagine sasa mtu ametoka kenya afanye hii kazi niko saa hii for 2 years si atakufaa?)

Cleaning ya saudi sasa hapa ndio wasichana wengi wanakufaa….

Mwarabu hajasoma atachukua all kind of chemicals akuambie changanya zote usafishe choo apate pia msichana hajasoma she will mix them most gal wanaanguka tu wakifanya usafi..”