Home ENTERTAINMENT Alimwambia,”Hiyo Iko Fupi,Round na Nono Sitaki,Labda Uongeze pesa”,Sikuamini Ni Yeye

Alimwambia,”Hiyo Iko Fupi,Round na Nono Sitaki,Labda Uongeze pesa”,Sikuamini Ni Yeye

559

Bibi yangu yeye ni mtamu,hata sitaki mtu amkaribie,lakini ni kama amenikosea.Mimi ni mkristo na sitaki kukosea mtu lakin chenye alifanya siwezisahau.

Juzi nilikuwa night shift,mimi ni watchman.Kawaida nikienda kazi narudi nyumbani asubuhi saa kumi na mbili.Nikamwachia bibi na watoto elfu moja ya shopping.

When I arrived at the job, I started feeling cold, I tried to persevere but my body was constantly shivering.Niliamua kupigia mkubwa kumwambia siskiii vizuri.Alikubali kuleta mtu mwingine asimamie ili nirudi nyumbani.

I didn’t inform my wife I had to return home since I knew she was asleep.I also didn’t expect any surprise.Nilichukuliwa na gari ya kazi na wakaniweka kwa mlaong.Wakati nilishuka,ilikuwa saa sita ya usiku,niliona bado taa ya bedroom haijazimwa.I decided to peep through the window.Ndio niliona bibi ameshika mtu,kuangalia hivi nikasikia,” Hiyo Iko Fupi,Round na Nono Sitaki,Labda Uongeze pesa”.

Kusikiza tena huyo mtu akasema,”wacha niweke,tutaongea bei baadaye”.Machozi ilianza kunidondoka,nikajiuliza maswali mengi,kwani pesa bibi anaitisha ni ya nini.

I knocked the window hard and the man disappeared, I didn’t see who he was. My wife also disappeared.

It’s yesterday night I discovered my wife has been doing prostitution na sijui.Hat saa hii sijakula,nataka mnishauri nifanye nini.