If you are fond of doing this,you are a slay king.
- Eating inside a Matatu (If a must chew a gum)
- A mat must completely halt for you to board or alight
(mwanaume ni kukanyangiwa kwa jam anaruka)
- You use words like….woishe, woiye, khai, gosh,
OMG…..
- If you own a car….kuekewa pumzi na fuel
attendant ama petrol station guard
- Kubebewa kamzigo tao na jamaa kwa bega
(afadhali trolley if its twice your weight).
- Kubebewa gas cylinder na attendant.
- Kusneez unasema ….”excuse me”
- Kutapika ukilewa sana.
- Kusimama tao kwa smokies zone na kula
hapo….fungiwa ukulie mbele.
- If wewe ni bachelor na kwako uko na bathing
soap na laundry soap.
- Kungoja ufunguliwe soda kwa function…. Meno
ni ya?
- Kuoga morning na jioni.
- Kushika mtu wa pikipiki kiuno
14.Kutoboa maskio
15.Kuvalia tight trouser
16.Kukula ugali na kijiko
17.Kuishi na mama yako ukiwa above 30.
18.Kama unajua ku twerk