If you have been into a Kenyan matatu, you have witnessed these funny writings:
- Kuharibu hewa ni bure lakini ukitapika lipa
- Kama wewe ni demu tutaongea lakini kama ni ndume kulipa ni lazima
- Hakuna kitu kama dere shukisha hapo,kushuka ni stage
- Hakuna stage ya 10 bob
- Dere ako chonjo,driver ni smart lakini abiria ndio sumbua
- Hatujasema wewe ni mnono lakini ukikalia viti mbili lipia
- Change tunarudisha ukikumbuka
- Hata ukichungulia gari,hivo umepanda-lazima ulipe
- Abiria mzuri ni Yule amelipa
- Ukiona gari haina mbio shuka utembee
- Mzigo ni motto,wallet na simu,zingine lipia
- Konda ni samba, mwongeleshe kwa upole
- Usikomplain tuko excess,ungenunua yako
- Usikatie demu kwa hii gari,mali yote ni ya kondakta
- Ukilala kwa gari ita mamako akuamshe
- Muziki ni wa driver na konda,nyenyenye peleka nyumbani
You can add yours!!!!!!!!!!