Hilarious! Types of cars you should not park kwa nyumba ya rent,Ni aibu

351

A Kenyan has shared his thoughts about cars you should not park kwa nyumba ya rent—ni aibu kubwa.

Here is a post that has gone viral:

“I dont want to look petty but i feel like kuna magari haufai kupark kwa landlord ukiwa tenant na kuna zingine hata kama unalipa rent kaa kwa nyumba iko na heshima kidogo to suit your status. For example, uko na hii gari, 2016 forester xt, this is over 3 million shillings from japan, ukinunua subaru kenya thats a whole 5m plus, halafu unakaa kwa plot yenye asubuhi lazima muamshane kuondoleana gari, mnaweka gari chini ya balcony neighbours wakianika carpet zinamwaga majo chafu kwa sunroof yako, kila asubuhi lazima uoshe gari ju usiku kuna neiba alifagia balcony yake akamwaga takata juu ya gari yako I think mi siwezi, i would feel pain having paid all that money ati uko na prado tx ya 2014 na inalala hapo nje ya plot ju hata kwenye unaishi hakuna parking unaendesha benz e250 na unalipa rent 15k 2 bedroom iko mahali kwa chochoro ati kukinyesha huwezi fika kwako na gari inabidi ufiche mahali kwa shule ama carwash utembee sio maringo but kuna class ukifika hata wewe jipende.. uko na 2016 harrier hybrid na sunroof na inalala chini ya balcony, unaishi kupigana na neighbours ju ya kuangushia gari yako viatu na vifagio na diapers kuna magari ukinunua wewe enda ishi kwa compound yako peke yako ama utafute nyumba kwa apartments zenye gate iko na soldier, parking ni basements hakuna vumbi na jua na pampers”