Tony Kwalanda on why he divorced Joyce Maina

190

Media personality Tony Kwalanda has spoken about how his relationships with actress and content creator Joyce Maina ended.

Kwalanda, who confessed to loving Joyce beyond measure, said cultural difference in naming children was the main reason the two parted ways.

Kwalanda: Joyce alisema, “Mtoto wangu wa kwanza, mi nataka nimwite hivi, wa pili nataka nimwite hivi, watatu, nataka nimwite hivi. Ah!” Nikamsikiza tu na nikamwambia, “Unajua sasa sisi Wakabras kule Malava, sisi wanaume ndio tunaname watoto.” Joyce akasema, “Ah! Mimi ndio carrier. Unidunge mimba halafu ukuje useme unataka kuwapatia watoto majina? Nitamwita jina langu, upende usipende.”

“Nikaona tukiendelea, tutakuwa na shida. Niliona kama jina peke yake inaweza kuleta shida, there could be another problem. Pia, ilimsikia akisema akiwa na mimba, siku moja nimekuja nyumbani nataka unipikie… Ninajua kupika na ninaweza kupika kwenye ndoa, lakini baadhi ya wanaume hatupendi kuambiwa ama kukumbushwa,” Kwalanda added.