This is what Uhuru Told the Kamba People in Wote

1745

 

President Uhuru Kenyatta visited Wote today and after meeting hostile crowd, he told the Kamba:

“Mimi hamnitishi na hizo kelele zenu. Huyo mzee nitamshinda mpende msipende. Hata mpige nduru mkisema NASA, mimi siwezi shtuka. Kwani lazima nipate kura zenu?
Halafu nyinyi hapa mnaopanga kuvuruga uchaguzi, usijaribu! Utaniona! Mimi msicheze na mimi kabisa. Sahizi mnapiga kelele hapa, wach hiyo siku mlete mchezo, nitawanyorosha vibaya.
Na nyinyi chiefs wa vijiji hapa Ukambani, naskia mnasaidia upinzani. Kila kitu mnafanya huku chini tunajua, I will deal with you after the elections. Just wait.
Hizo pikipiki mko nazo ni Serikali ya Jubilee iliwanunulia, hizo fimbo mko nazo na sare ni za serikali ya Jubilee. Nyinyi mmeandikwa kazi na Serikali ya Jubilee kwa hivyo lazima uhakikishe umesaidia serikali kushinda.
Msinijaribu mimi!”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here