Hilarious!!!How a Kisii Plans His Journey from Kisii to Nairobi

Hilarious!!!How a Kisii Plans His Journey from Kisii to Nairobi

1369

Before a Kisii man starts a journey from Kisii to Nairobi, a lot has to happen. In many occasions, even when he is travelling from Keroka to Kisii,he has to be accompanied by the entire family.

Below we narrate the exact process a Kisii man/woman goes through before he starts a journey.

Pilot ngocha kidogo, Nyaboke ukifika Kangemi patia Mereni hiso avocado ziko kwa saga saga(paper bag) ya blue, Maziwa ni ya Onchweri akiwa Nairobi University ameniambia anakungocha hapo transline, kazi ni kungocha maziwa na nyumbani hakuji. Maindi patia Rose mwambie nitakucha kusalimia mtoto. Unga ya wimbi iko kwa saga saga ya black, toa vizuri upatie Onchweri apelekee Moraa, chunga usishikwe, naskia Nairobi watu wanashikwa na saga saga. Namba ya simu nimepatia pilot, ukifika Limuru pigie Anjericah umwambie umefika Limuru atume mtu akuche akusaidie kupepa mizigo, mwambie Kuku aperekee Chareti kwa sababu yeye ndio anatumanga pesa ya mborea. Nimepatia pilot silingi mia mocha ya kununua Maindi mkisimama kukochoa juu ameniambia mtakochoa Naroko/Narok. Aya basi safari nchema. Ukiona Mosoti mwambie ni sawa tu, uchungu wa mzazi ni mtoto wake kukataa kushika simu, simu hapokei, kasi ni ulevi Nairobi, kurewa siku zote harafu bibi akijifungua anaanza kuraramika eti mtoto hamfanani, nisipate mmperekea hata kama ni avocado mocha, wacha ateseke hapo Kawangware. eeeh! pilot ngocha nimesahau kumwambia akichoka anawesa kulala tu”.