8.3 C
New York
Friday, June 26, 2026
Home ENTERTAINMENT Funny writings in Kenyan Matatus

Funny writings in Kenyan Matatus

Funny writings in Kenyan Matatus

7309

If you have been into a Kenyan matatu, you have witnessed these funny writings:

  1. Kuharibu hewa ni bure lakini ukitapika lipa
  2. Kama wewe ni demu tutaongea lakini kama ni ndume kulipa ni lazima
  3. Hakuna kitu kama dere shukisha hapo,kushuka ni stage
  4. Hakuna stage ya 10 bob
  5. Dere ako chonjo,driver ni smart lakini abiria ndio sumbua
  6. Hatujasema wewe ni mnono lakini ukikalia viti mbili lipia
  7. Change tunarudisha ukikumbuka
  8. Hata ukichungulia gari,hivo umepanda-lazima ulipe
  9. Abiria mzuri ni Yule amelipa
  10. Ukiona gari haina mbio shuka utembee
  11. Mzigo ni motto,wallet na simu,zingine lipia
  12. Konda ni samba, mwongeleshe kwa upole
  13. Usikomplain tuko excess,ungenunua yako
  14. Usikatie demu kwa hii gari,mali yote ni ya kondakta
  15. Ukilala kwa gari ita mamako akuamshe
  16. Muziki ni wa driver na konda,nyenyenye peleka nyumbani

You can add yours!!!!!!!!!!

Total
0
Share